Halima Mdee: Tatizo la uchumi na siasa zetu changa!

Halima Mdee: Tatizo la uchumi na siasa zetu changa!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857

Nilikuwa namfuatilia huyu dada Mpare mwenzangu Halima Mdee. Bila ubishi ni kati ya wanasiasa wachache wenye vipaji sana.

Tatizo lake ni moja tu kwamba Siasa za Tanzania kufanya kwa level yake unatakiwa usiwe tena na uchumi wa kutegemea siasa hizo hizo kwa maslahi na kujikimu.

Tatizo hawa madada walikuwa hawajajiandaa kiuchumi kiasi kwamba Magufuli alivyo nyanyanya ubunge wao waziwazi ingawa walishinda ilibidi watumie mbinu mbaya kurudi bungeni kwasababu tu ya uchumi wao na sio wanayo yaamini.

Hivyo nahimiza kwa vijana msiingie kwenye siasa kwasababu ya vipato.
 
Back
Top Bottom