Pre GE2025 Halima Zuberi: Asilimia 90 CCM inawapa nafasi Wananchi kuichagua kiongozi anayewafaa

Pre GE2025 Halima Zuberi: Asilimia 90 CCM inawapa nafasi Wananchi kuichagua kiongozi anayewafaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Halima White Zuberi amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu mamlaka yapo kwa wananchi kwakuwa watachagua viongozi bora wanaowataka.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Zuberi ameyasema hayo Jumatano Februari 19, 2025 jijini Dodoma wakati akifungua mafunzo kwa Watendaji Kata na Makatibu Tawi wa Mkoa wa Dodoma.

Amesema utaratibu uliowekwa na chama hicho ni mzuri kwakuwa unatoa mamlaka kwa wananchi kuchagua kiongozi anayewafaa.

 
White kichwani yupo mweupe sana haijui CCM , wagombea na uongozi wake aulize ya hayati Membe.
 
Back
Top Bottom