mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Ukizungumzia mastriker wenye umri mdogo ulaya na dunian kwa ujumla huwezi acha kumataja huyu dogo anaecheka na nyavu kila siku dogo hallanda
Kwa watu wa man untd miyoni mwao watakua wanajilaumu kutokana na kumkosa huyu bwana mdogo
Tangu ajiunge na Dortmund huyu dogo adi sasa kacheza mechi sita tano zikiwa za league na moja ikiwa ya uefa katika mechi hizo zote kafunga magoli 10 kwa ujumla nane league kuu ujerumani na mawili uefa
,Tukija uefa tu kashafunga Holi kumi ad sasa nane akifunga na timu yake ya zamani na mawili akiwa na Dortmund
Kiukweli dogo anafanya maajabu japo hapambwi na media nyingi ukifananisha na Wale madogo wa uingeleza ambao Kila siku wanapambw na media zao ,,
Tammy Abraham,rashford, green wood,martinel,odoi, wankitu Cha kujifunza kutoka kwa huyu dogo