sifa Member Joined Sep 15, 2009 Posts 19 Reaction score 2 Oct 5, 2009 #1 habari wadau, nimejiunga na JF kwani nilifurahishwa na mada mbalimbali zinazojadiliwa humu ndani kwani nineshanufaika na naamini nitaendelea kunufaika kwa mengi pamoja na kutoa hoja zangu. Keep it up!!!!!!!!!!!
habari wadau, nimejiunga na JF kwani nilifurahishwa na mada mbalimbali zinazojadiliwa humu ndani kwani nineshanufaika na naamini nitaendelea kunufaika kwa mengi pamoja na kutoa hoja zangu. Keep it up!!!!!!!!!!!
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 170 Oct 5, 2009 #2 karibu sana hapa JF sifa!!
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Oct 5, 2009 #3 Karibu ndugu!