Hallo wenye nyumba mko?

Mlamba Ndimu

Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Mi naitwa Mlamba Ndimu
Ndio maana unaona sura yangu imejikunja hivyo
Mi sina lolote bana
Kumboli kumbonji tuuuuuuu
Nini jamaaaa...

haya naomba kuingia humu kwa ma great
Ili nipolish skills labda ninaweza kugeuka kuwa mlamba honey!

Ni hayo tu wakuu.
 
welcome to the house
jukwaa letu halitaki majungu,hasira wa majibu yasio na tija
ukiudhiwa unaweza kukaa kimya la sivo utafungiwa fasta
heshimu maoni ya watu kosoa kwa lugha fasaha na usikurupuke kuleta mada bila ushahidi wa kutosha.
 
Ahsante sana,
Huyo jamaa Urkel huwa alikuwa ananiacha hoi sana enzi zake.
 
Mlamba Ndimu karibu sana jamvini, lakini umesoma kanuni na sheria za humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Mlamba Ndimu karibu sana jamvini, lakini umesoma kanuni na sheria za humu ndani?

Kusema ukweli sijasoma, nilichukulia easy kwamba ni kujiheshimu tuu kwenye posts zangu na za wengine. Nitazipitia.
Mimi nilikuwa msomaji kwa miaka mingi sasa nimeamua kuwa mchangiaji.
 
karibu saqna, ila chukua muda usome sheria kuna link kwenye bar hapo juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…