Mziwandawamama JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 1,303 Reaction score 939 Apr 14, 2015 #1 Habari za asubuhi wanajf,mm ni mpenzi sana wa jf ila siku zote nilikuwa msomaji tuu wa post za wengine.Naomba kukaribishwa rasmi ili niendelee kuifurahia na kujifunza mengi kutoka kwenu wapendwa. muwe na asubuhi njema
Habari za asubuhi wanajf,mm ni mpenzi sana wa jf ila siku zote nilikuwa msomaji tuu wa post za wengine.Naomba kukaribishwa rasmi ili niendelee kuifurahia na kujifunza mengi kutoka kwenu wapendwa. muwe na asubuhi njema
X xrotcivx Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 102 Reaction score 86 Apr 14, 2015 #2 🙂 karibu sana msoma post wetu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Apr 14, 2015 #3 Krb sana jf...