Nataka kufungua work shop ya carpentry hapa Dar nataka kununua vifaa vidogovidogo used nitakavyoanza navyo najua vipo vingi mtaani kama kuna mtu ana connection tuwasiliane wakuu...