Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa.
chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi.
usije shangaa masoko mengi makubwa ni vizimba vya watumishi ambavyo ujimilikisha na kodi unapewa mpya kwa faida yake.
wameharibu sana watu kushindwa kupata maeneo ya kufanya biashara kama kwenye masoko na stendi kwa kuweka ghalama kubwa kuanzia kilemba mpaka kodi.

Waziri ili ni bomu kwako usiche shangaa ukitembelea wanavopangana kupanga mstari kukuzonga usijuie kinacho endelea chunguza ili .
 
Back
Top Bottom