Jambo hili kiukweli linawakatisha tamaa sana waalimu hawa waliosahaulika toka nchi hii imepata uhuru.
Awali ilitangazwa kwamba tayari zimeshafika pesa zote za kujikimu za waalimu katika halmashauri husika kwa muda wote wa siku saba, sasa iweje mseme pesa zilizoponi nusu???
Hembu tusaidiane wakuu...