Nyie wabongo mwisho weny kuwekeza kwenye mabar,gestiStress Challenger kwamba wachaga hawawezi kuwekeza
Wamepata vya bure aiseeJamaa wanajuwa kutafuta mipango
Ova
π π πKuagiza maronya chinaNyie wabongo mwisho weny kuwekeza kwenye mabar,gesti
Kusimamia wasanii+mziki
Ku shoot bongo movie ...kwishaaa
Huko kwengine waachieni wenyewe
Ova
Wanapigia dili humo humoWalijuwa kwani?
Ova
Unasemaa?!?Huyu jamaa atatumaliza.
Unasemaa?!?Bado kuolewa tu
hiyo safi!! kuliko KASONGO kuwazingua SIMBA!!Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.
Marejeo na maboresho ya mkataba huu yatafanyika kila baada ya miaka 5 ili kuendana na mahitaji ya wakati huo.
Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.
Marejeo na maboresho ya mkataba huu yatafanyika kila baada ya miaka 5 ili kuendana na mahitaji ya wakati huo.
Unasemaa!Bado kuolewa tu