Mitaa ya Majego, Nyasubi, Nyamhongolo, Nyihogo, Phantom, Nyakato, Mbulu, Marunga, Zongomela, Dodoma viwandani.. hiyo ni baadhi ya mitaa ya mjini ila hakuna sehemu hata Moja yenye Barabara ya lami...Barabara zote ni za vumbi sijui madiwa na Mh. Mkurugenzi hamlioni ilo
Wasiichague tena CCM.
We utakuwa home boy piga sana mpira mnadani zamani sasa hivi wamejenga soko na hapo pembeni ya Sheli.Mitaa yangu .Phantom mitaa yangu
Changamoto sana
Utakuta wachapaji ni wengi hapo halmashauri.
Watu wanakandamiza tu kizenji, ripoti ya CAG ikija na madudu hakuna hatua inayochukuliwa, ndio mfumo ambao tanzania imejijengea, yani upigaji ni sumu iliyosambaa kote, mtu imefikia hatua rushwa ama upigaji anaona ni haki yake.
Mgawanyo wa keki ya taifa bado hauko sawasawa.
Kuna Bank zifuatazo. EXIM BANK, DTB, ACCESS BANK, AZANIA BANK, POSTA BANK, +NMB, CRDB, NBC BANKHaipo shaka wakandamizaji hao watakuwa ni vigogo kweri kweri:
1. Kahama banks zilizopo ni nyingi kuliko zilizoko hadi kwenye majiji mengine hapa nchini.
2. Huko wana hadi ma KCB, Access na zingine sizikumbuku zenye majina tu ambazo sikupata kuzisikia kwingine, ila huko naliziona.
3. Banks huko zafunguka hadi jumapili, usiku na hata siku za sikukuu!
4. Yasemekana umekuwapo mkoa wa TRA huko tangia ikiwa halmashauri ya wilaya kabla ya jiwe.
5. Tanesco nao wana mkoa wao huko. Polisi sina uhakika.
6. Nk, nk.
Yote tisa, ila hiyo wilaya ni manispaa lakini si mkoa 🤣🤣.
Barabara ndiyo hizo?!
Wajameni! Mkandamiza kizenji atakuwa ni "kaj*mba" nani hapo?
Panga, pangua: Iko namna!
Kuna Bank zifuatazo. EXIM BANK, DTB, ACCESS BANK, AZANIA BANK, POSTA BANK, +NMB, CRDB, NBC BANK