KERO Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo mnatatizo gani mnakaa na maombi ya leseni mwezi mzima bila sababu yoyote, tangu Oct 1, 2026 sijapata leseni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2020
Posts
789
Reaction score
2,061
Mkuu wa idara ya biashara manispaa ya ubungo una tatizo gani maombi yanapita idara zote ikifika kwako unakaa nayo mwezi mzima ?tunaitaji control namba tuchangie manispaa yetu mnavyokaa na maombi yetu mnakua mnakwamisha miradi mingi ya mendeleo kukosa pesa

Nimeomba leseni ya tangu 01/10/2026 mpaka Leo 03/11/20226 kabaki yy tu apitishe amekaa nayo halafu mkipita mtaani mnatusumbua hatuna leseni wakati mmekaa na maombi yetu
 
Pole, mbona leseni ukiingia tu tausi portal unaipata chap.....
Au leseni yako ni ya mambo makubwa makubwa sana, pole bro.
 
Uliomba kwa jina gani, nikupekulie faster. Makabrasha yapo mezani.
 
Pole, mbona leseni ukiingia tu tausi portal unaipata chap.....
Au leseni yako ni ya mambo makubwa makubwa sana, pole bro.
HUWEZI KUPATA LESENI BILA CONTROL NAMBA NDIO HYO WANANISUMBUA NAYO MWEZI MZIMA WANAPITISHA WOTE IKIFIKA KWA MKUU WA IDARA HAPITISHI SASA HV INA MWEZI MZIMA
 
Uliomba kwa jina gani, nikupekulie faster. Makabrasha yapo mezani.
Nikishakutajia jina ili mnifanye adui yenu nyinyi pitishen maombi ya wateja mliyokaa nayo mnatutesa bila sababu mfumo wa tausi umewekwa kupunguza kujazana halmasauri cha ajabu mnataka tuendeee kujazana apo kuulizia maombi yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…