Hii halmashauri ndio halmshauri inayoongoza kwa ufisadi hususani katika elimu, halmashauri hii wamechangsha tshv3000 kwa kila mwanafunzi wa serikal na sh 18000 kwa kila mwanafuzi wa shule binafsi kwa ajili ya mtihani wa darasa la saba mock wilaya lakin cha ajab wasimamiZ wamelipwa 10000 kwa siku kwa mda wa siku 2 na wasahishaji wamelipwa 10000 kwa siku kw mda wavsiku 3. Pesa zote wamepeleka wap