Pristicaicram
New Member
- Jul 27, 2024
- 2
- 1
Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo watu hatuelewi wakidai kwamba tunataliwa tulipe elfu 40 kodi ya kibanda na wakati kibanda ni changu natakiwa nichangie asilimia 10 tu ya pango la serikali.
Na mchanganuo wa elf40 unasema tuwalipe wao elfu 20 na elfu 20 wanatulipa sisi baada ya miaka kadhaa kibanda kinakua chao.
Sasa hapo sijaelewa imekaaje hii maana kuna siku mtu aligoma kufungiwa kwa sababu ajalipa kodi na kubishananao wakamwambia usiseme kwa sauti utawafungua masikio.