HALMASHAURI YA MVOMERO SI WAELEWA,

mvetenam kambodia

Senior Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
149
Reaction score
93
Katika agizo la or-tamisemi la kuwaagiza wakurugenzi kuwarejesha watumishi wote wa darasa la vii walio waondoa kazini kwa makusudi na kwa manufaa yao binafsi,hadi kufikia leo hakuna utekelezaji wala mtumishi yeyote kurejeshwa kazini,mashaka yaliyopo kwenye jamii kuchelewa kwao kuna kamgomo baridi au nafasi hizi walizipatia chochote wanamashaka takukuru kuwa ingilia ,wana jf iyo ikoje wataalam wa sheria.MVOMERO ni shida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…