upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto iliyotokea febuari 15 mwaka huu wilayani Nachingwea mkoa Lindi.
Akikabidhi saruji hiyo kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya hiyo Dkt.Ramadhan Mahiga amesema kuwa ofisi ya mkurugenzi imeguswa na tukio hilo na imetoa saruji hiyo ikiwa sehemu ya mchango katika hatua za kumjengea nyumba mpya bi zuhura Mashana.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa upande wa Zuhura Mshana ameishukuru ofisi ya mkurugenzi kwa msaada huo na uongozi wote wa serikali kwa moyo wanaonesha kwake.
Nae wakati makona mwakilishi kutoka kundi la Nachingwea Yetu ameishukuru ofisi ya mkurugenzi kwa namna alivyoshiriki katita zoezi hilo.