Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Unalipa shilling ngapi?Watu kodi ya taka tuna zaidi ya miaka 10 tunalipa....siyo kodi ngeni hiyo
Ova
Sisi Kata yetu tulimgomea mkandarasi bei hiyo ukaitwa mkutano na serikali ya mtaa tukakubaliana 2500 kila kaya, kwenye guest na bar ndio wanalipa zaidi.5000 kwa mwezi kwa nyumba makazi
Ova
Na bado.View attachment 2354860View attachment 2354861View attachment 2354862Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo mbande chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka.
Maswali niliyomuuliza alishindwa kujibu akasema kuwa halmashauri ya temeke ndio wametoa ilo tamko kwa kila kata.
Kwenu halmashauri ya temeke ni sawa mama lishe kulipa 2000 kila siku?
Ni sawa gereji ya bodaboda kulipa 120,000 kwa mwezi?
Ni sawa fundi seremala kulipa 100,000 kwa mwezi?
Hatukatai kuhusu usafi je Unaona sawa gereji bodaboda kutozwa 120000 kwa mwezi?Wabongo kwa kulialia hatujambo..kwahiyo takataka zako unazalisha mwenyewe zije zizolewe bure.
Tunza mazingira ya kutunze..
Kwanza ulitakiwa ufurahie kuona halmashauri yako imeonyesha nia ya kisaidia usafi ambao ninyi mmeshindwa kuufanya.
Hivi unazijua gharama za usafishaji miji zilivyo kubwa..kuanzia usafishaji miji, ukusanyaji taka..usafirishaji n.k.
Labda uje na hoja ya kuwa tozo ni kubwa ipunguzwe kwa kiwango fulani sio kukataa tozo katika suala zima la usafi.
#MaendeleoHayanaChama
Mtaa nliyopo kila jumamosi watu wanatoa taka,hiyo ninjuu ya wapite waSipite ila taka zinatolewaWabongo kwa kulialia hatujambo..kwahiyo takataka zako unazalisha mwenyewe zije zizolewe bure.