DOKEZO Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi waliodhulumiwa miaka ya nyuma

DOKEZO Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi waliodhulumiwa miaka ya nyuma

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Uongozi wa Halmashauri ya Uyui mkoani Tabora haijawapandisha madaraja watumishi wote waliodhulumiwa madaraja miaka ya nyuma.

Kuna wafanyakazi wameajiriwa Toka 2006 lakini wanalingana mishahara na walioajiruwa 2012 jambo ambalo haliko sawa.

Watumishi wengine walisajiliwa PSSF walipoajiriwa 2005 na 2006 lakini michango yao haikuwekwa kwenye mfuko huo kwa miaka mitatu mfululizo.

TAMISEMI iwasaidie watumishi wa Uyui wenye malalamiko ya kimaslahi ili kuongeza morali ya kazi.
 
Back
Top Bottom