KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma haijalipa fedha za likizo kwa watumishi (hususani walimu) tangu mwaka 2023 mpaka sasa

KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma haijalipa fedha za likizo kwa watumishi (hususani walimu) tangu mwaka 2023 mpaka sasa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Walimu wakifuatilia kwa maafisa wa idara ya Elimu wanaambiwa hela zipo tutawaingizia kwenye akaunti lakini mpaka sasa ukimya umetawala na hatima ya malipo hayo haijulikani.

Hali hii imekuwa kikwazo kikubwa katika utendaji kazi.

Tunaomba mamlaka za juu zitusaidie kufuatilia hili
 
Back
Top Bottom