KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga inawatelekeza Wastafu bila kuwarejesha Maskani baada ya kustafu utumishi wa umma

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

9259409

Member
Joined
Nov 30, 2024
Posts
6
Reaction score
2
Halmashauri ya wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro inawatelekeza wastafu bila kuwarejesha maskani baada ya kustafu utumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…