horace
Member
- Dec 18, 2012
- 49
- 7
Vituo hivi vilianzishwa kwa lengo la kuboresha ufundishaji na ujifunzaji katika shule zetu. Pia viliwajibika kusaidia jamii iliyo karibu kwa kujiendeleza kitaaluma (QT, CSEE, ACSEE n.k.) na kitaalamu kama vile mafunzo ya kompyuta, lishe bora kwa watoto n.k. kutegemea mahitaji ya eneo husika. Hongera uongozi wa Manispaa ya Moshi kwa jitihada zinazofanyika kuhakikisha kituo hiki kinafanya kazi zake kama inavyostahili.
Halmashauri nyingine vipiiii???? Taarifa mbalimbali za ukaguzi zinaonesha kuwa halmashauri nyingi zimevitelekeza vituo hivi. Hivi katika mpango wa BRN vituo hivi havihusiki kuboresha taaluma katika maeneo husika??? Wakurugenzi wa wilaya na Maafisaelimu wilaya vitumieni vituo hivi ili kuboresha taaluma katika maeneo yenu.

KITUO CHA WALIMU MAWENZI NI KITUO MAMA CHA VITUO VYA WALIMU TANZANIA. NDIKO WAZO LA UANZISHAJI WA VITUO LILIKOZALIWA TAREHE 26.12.1986. KITUO HIKI KILIANZISHWA MWAKA 1979 NA ALIYEKUWA AFISAELIMU MKOA WA KILIMANJARO MAREHEMU NURU KISOME MARA BAADA YA ZIARA ALIYOIFANYA HUKO EDINBURGH - SCOTLAND

MWALIMU MWALIKWA MTAALAMU WA KISWAHILI BW J. E. CHEDIEL AKIFAFANUA MADA KWA WATAHINIWA TARAJALI WA MWAKA 2015

MWALIMU ADILI NA MWALIMU MSAKI WA ST PATRICK ENGLISH MEDIUM NI MIONGONI MWA WALIMU WANAOJIENDELEZA KATIKA KITUO HIKI