Tusichanganye ubunge na Halmashauri. Kuna majimbo ambayo mbunge na Halmashauri hawako Chama kimoja na mfano ni Kigoma kaskazini. Inabidi tuji-inform zaidi
Halmashauri inaendwshwa na madiwani, hivyo chama chenye madiwani wengi ndicho kinapata mwenyekiti wa baraza> Kumbuka hata mbunge ni mjumbe wa baraza la madiwani na viti maalumu vinaendana na uwiano wa madiwani kwa kila chama. Hivyo halmashauri hesabu zake zianzie hapo.