Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
ila mahiππππNiligundua ni Mbavu za kukosa lishe na siyo sixpack
π€£π€£π€£π€£acha tuπila mahiππππ
πππ daah kumbe ni utapia mlo tuNiligundua ni Mbavu za kukosa lishe na siyo sixpack
πππ daah kumbe ni utapia mlo tuNiligundua ni Mbavu za kukosa lishe na siyo sixpack
Balaaπππ daah kumbe ni utapia mlo tu
Ukipenda hauoni.
Unapokuwa kwenye mapenzi na mtu ni ngumu kuona mapungufu yake sababu ubora unaopenda kwake, unafanya upuuzie mapungufu aliyonayo. Kitaalamu hali hiyo inaitwa "Halo Effect".
Ila mwisho wa siku mapenzi huisha ndipo utakapo yaona hayo mapungu uliyo yapuuza.
binti sayuni licha ya kuwa na tako lakinbaada ya mapenzi kuisha niligundua kumbe ni mfupi sanaππ, Ebu tuwambie ww uligundua nini?
Of courrrrrrrzzzzzzzz!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] una dhambi sana.Niligundua ni Mbavu za kukosa lishe na siyo sixpack
π€£π€£π€£π€£π€£ ila To yeyeπππNiligundua ni Mbavu za kukosa lishe na siyo sixpack