baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
jamani bandugu nami nimeingia humu leo!!kazi kwenu msio na wake!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani bandugu nami nimeingia humu leo!!kazi kwenu msio na wake!!
ahsante Katavi!!ngoja nizoee zoee kwanza!Sina mke baby wa kitaa, nipe nafasi hahahahaah!!
Karibu sana jamvini.
Hahahaah!! Haya baby wa kitaa nasubiri.
Hehehe naona unatega tetere sio....
jamani bandugu nami nimeingia humu leo!!kazi kwenu msio na wake!!
du!mbona unanitisha!!kumbe una wako humu humu!!nitajie basi shost nisimparamie!Usiparamie tu wangu.
Ha ha ha haaah!! Kweli nimeamini nina damu ya kunguni.
du!mbona unanitisha!!kumbe una wako humu humu!!nitajie basi shost nisimparamie!
Usinipeperushie tu ndege wangu.Usiparamie tu wangu.
Ongea vizuri na huyo tinna cute arekebishe maneno yasomeke uzuri...:smile-big: