Haloo JF members

Haloo JF members

Mzukulu njoo huku ukaribishe watu naona tayari Mods wamefanya yao kwenye uzi wako 😂😂 mbili ndani ya dk 2 Threads mbili zimefutwa, pole sana na IQ yako kubwa.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidipo.
 
Habari?

Nimefurahi kuwa member hope there's a lot of friends, knowledge and funny thanks and love you all
Karibu ila kuna wachawi sana humu na wengi wao wapo mitaa ya ufipa. Hakikisha usiwe na ukaribu nao, watakuroga.
 
Back
Top Bottom