Huyu dada mtu ukisafiri hautakuwa na amani anaonekana mjanja na mpenda matanuzi.Ya, alafu yule haonekani kuwa mapepe kama dada yake...
Halafu hawaendani kabisa natabiri hata ndoa haitadumu lol! Mi nimempenda mdogo wake yule ambaya yuko kwenye kompyuta anaonesha ni mtu carefree.
Alafu pale wakamwekea limpenzi fulani, sijui anatokea mkoa gani wa tz yule... unaweza kubashiri?
Simu inaita, Mdada anapokea, jamaa anaongea kwa sauti ya kishamba hivi ...Haloo mpenz, ndo niko kona ya mwisho hapa...
Mdada ambaye anaonekana mjanjamjanja, anajibu ....Okeeee,... nimekwisha.
Yaani hili tangazo nimegundua kuwa kila memba wa familia yangu analipenda, lakini katika vipengele na sababu tofauti. Mi linanikumbusha siku nakwenda ukweni... Dah
Vodacom bwana...
mie silipendi tangazo hata kidogo
mie silipendi tangazo hata kidogo
Huyu jamaa rafiki yangu,bonge la mbwiga..mkulima fulan toka mwanza..