Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
Wanajamii, nadhani kila mtu anaendelea vizuri na mihangaiko ya kuliletea taifa letu maendeleo.
Nimekuwa nikifuatilia hii forum kwa muda mrefu sana, na kwa kweli nimenufaika sana na michango toka kwenu wanajamii (mafundisho, vichekesho, n.k)
Naomba kuungana nanyi, naamini kuna mengi nitaendelea kujifunza toka kwenu kama mwanajamii.

ha haaa, Asante mtaniMie nilikuwa nimekukumbuka tu mtani wangu...nikajisikia kufanya ukaribisho REMIX