HALOPESA, Mpesa na Tigopesa

HALOPESA, Mpesa na Tigopesa

Mapatreka

New Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Nina mpango wa kufanya biashara ya m-pesa, halopesa na tigopesa. Naomba mnieleweshe kuhusu biashara hii kwa kuwa mimi sijajua ni wapi pa kuanzia. Mliowahi kufanya kufanya shughuli hii naomba mwongozo tafadhali.
 
Festi siti.
 
Back
Top Bottom