Halotel bando lipo ila Internet [kasi] unajitafutia

Halotel bando lipo ila Internet [kasi] unajitafutia

kwa hata dakika mbili na zaidi.

Simu yangu ina sapoti Kasi ya 4G, ila sijajua ni kwamba Halotel wanatutema au lah! Maana hii kasi ni ya ki-kobe kobe sana 😡😡
Kwamba wanakutema wakielekea 5G au wanakutema wakirudi 2G?maana hata hiyo 3G baadhi ya sehemu ni mtihani.

Hapa kidogo umeniacha,natumia Halotel hapa mjini Daslam siyo wabaya sana labda ngoja wajuzi waje ikiwezekana wakupe settings zitakazoifaa simu.
 
Back
Top Bottom