Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,171 Reaction score 15,760 May 30, 2024 #2 Attelan said: kwa hata dakika mbili na zaidi. Simu yangu ina sapoti Kasi ya 4G, ila sijajua ni kwamba Halotel wanatutema au lah! Maana hii kasi ni ya ki-kobe kobe sana 😡😡 Click to expand... Kwamba wanakutema wakielekea 5G au wanakutema wakirudi 2G?maana hata hiyo 3G baadhi ya sehemu ni mtihani. Hapa kidogo umeniacha,natumia Halotel hapa mjini Daslam siyo wabaya sana labda ngoja wajuzi waje ikiwezekana wakupe settings zitakazoifaa simu.
Attelan said: kwa hata dakika mbili na zaidi. Simu yangu ina sapoti Kasi ya 4G, ila sijajua ni kwamba Halotel wanatutema au lah! Maana hii kasi ni ya ki-kobe kobe sana 😡😡 Click to expand... Kwamba wanakutema wakielekea 5G au wanakutema wakirudi 2G?maana hata hiyo 3G baadhi ya sehemu ni mtihani. Hapa kidogo umeniacha,natumia Halotel hapa mjini Daslam siyo wabaya sana labda ngoja wajuzi waje ikiwezekana wakupe settings zitakazoifaa simu.