Halotel is taking the battle of telecoms market share to another level

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Tanzania-Halotel yaondoa gharama za kutuma pesa
(GMT+08:00) 2018-07-04 20:10:06
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel imeondoa gharama za kutuma pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya kifedha ya Halopesa.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Halotel ilisema hivi sasa wateja wataweza kutuma pesa bure Halopesa kwenda Halopesa ,huku pia ikipunguza gharama za kutuma fedha kutoka Halopesa kwenda mitandao mingine.

Kuondolewa kwa makato hayo kumetafsiriwa na kampuni kama njia pekee ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa mamilioni ya watanzania ambao wanatumia huduma za kifedha kwa njia ya simu.

Aidha,taarifa hiyo ilisema mkurugenzi wa Kitengo cha Halopesa,Vu Tuan Long,alisema kuondolewa kwa gharama hizo kutawezesha wateja wa mtandao huo,hasa walioko maeneo ya vijijini kufanya miamala ya simu na kuondokana na usumbufu ambao wangeweza kupata kwa kutumia njia nyingine kutuma fedha ili kuokoa gharama za makato ya kufanya miamala.

Tanzania-Halotel yaondoa gharama za kutuma pesa - china radio international
 
Airtel-Money (Kenya) been doing this tangu kitambo.... Equitel too.....

No biggy!
 
And how much subscribers is Airtel having? Stop comparing a bankrupt- to a wonder-company
 
Tanzania-Halotel yaondoa gharama za kutuma pesa
(GMT+08:00) 2018-07-04 20:10:06
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Halotel imeondoa gharama za kutuma pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya kifedha ya Halopesa.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Halotel ilisema hivi sasa wateja wataweza kutuma pesa bure Halopesa kwenda Halopesa ,huku pia ikipunguza gharama za kutuma fedha kutoka Halopesa kwenda mitandao mingine.

Kuondolewa kwa makato hayo kumetafsiriwa na kampuni kama njia pekee ya kupanua wigo wa huduma za kifedha kwa mamilioni ya watanzania ambao wanatumia huduma za kifedha kwa njia ya simu.

Aidha,taarifa hiyo ilisema mkurugenzi wa Kitengo cha Halopesa,Vu Tuan Long,alisema kuondolewa kwa gharama hizo kutawezesha wateja wa mtandao huo,hasa walioko maeneo ya vijijini kufanya miamala ya simu na kuondokana na usumbufu ambao wangeweza kupata kwa kutumia njia nyingine kutuma fedha ili kuokoa gharama za makato ya kufanya miamala.

Tanzania-Halotel yaondoa gharama za kutuma pesa - china radio international

Airtel and the rest have tried this but Safaricom prevails.

Any strategy that takes away from agents is bound to fail. Customer anaweza furahia, lakini kama agents hawapati mapato, wataondoka huo mtandao.

Safaricom owes its success to the high transaction fees. That way they keep agents happy, as a result no matter which side you look, you see an 'Mpesa available here' sign.
When agents are ubiquitous, customers don't want to flee.
 
Halotel captured that matket share in 2 years time while Airtel Kenya in over 20 years of its existence

Your statement is not accurate. Airtel, previously Kencell, at one time had the biggest market share. In its first 2 years, no one ever thought Safaricom could ever catch up, leave alone overtake.
A lot can happen in '20 years' as you put it.
 
Back
Top Bottom