Halotel Kifurushi cha Kimataifa

Halotel Kifurushi cha Kimataifa

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
26,021
Reaction score
79,710
Wadau niaje?

Asee hawa halotel nimejiunga kifurushi cha kupiga German na UK ili niongee na wadau wangu wa huko ila hela wamekata na nikipiga wananiambia namba haipo.

Mnaopigaga hizo nchi hebu nipeni maujafanja maana hata nikipiga customer care yao hawapokei simu.

Sema nini, sisi wabongo tulishaonekana wasssenge na serikali yetu.

Huwezi chukua hela ya mtu hovyo hovyo huko nchi za wenye akili.

Stress Challenger Dr Lizzy Sky Eclat
 
We bwege nini? Karne hii unaweka kifurushi Cha kuongea na MTU wa nje?

Weka bundle mpigie kutumia Whatsapp infact mtakua mnaongea huku mnaonana. Tena unapiga bure. Yaani at no load.

Thank me later.
 
We bwege nini? Karne hii unaweka kifurushi Cha kuongea na MTU wa nje?
Weka bundle mpigie kutumia Whatsapp infact mtakua mnaongea huku mnaonana. Tena unapiga bure. Yaani at no load.

Thank me later.
Kwanini umuite bwege.

Ukifuta hiyo kauli ya "we bwege nini" usingeeleweka, wazee kuna ulazim gani kukwazana..?
 
Kwanini umuite bwege..
Ukifuta hiyo kauli ya "we bwege nini" usingeeleweka, wazee kuna ulazim gani kukwazana..?
Kumuita MTU bwege ni kumsifia. Ningesema mpuuzi au mjinga ndio tusi.

Samahani Kama lugha za vijiweni huzijui.
 
We bwege nini? Karne hii unaweka kifurushi Cha kuongea na MTU wa nje?
Weka bundle mpigie kutumia Whatsapp infact mtakua mnaongea huku mnaonana. Tena unapiga bure. Yaani at no load.

Thank me later.
Asante kwa maelekezo bro. Mimi ni bwege kweli hujakosea.

Ila pia ungeelewa uzi wangu ni kuwa nafahamu yote hayo na ingekuwa naweza kuwapata kwa njia hiyo nisinge jiunga bunlde la kuwapigia kwa njia hiyo bali ningewatafuta kwa WhatsApp.

Usichojua na unachofikiri ni kuwa kila mtu anatumia hii mitandao ya kijamii kama WhatsApp.

Asante kwa ushauri dear bwege mwenzangu.
 
Back
Top Bottom