Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwanini umuite bwege.We bwege nini? Karne hii unaweka kifurushi Cha kuongea na MTU wa nje?
Weka bundle mpigie kutumia Whatsapp infact mtakua mnaongea huku mnaonana. Tena unapiga bure. Yaani at no load.
Thank me later.
Kumuita MTU bwege ni kumsifia. Ningesema mpuuzi au mjinga ndio tusi.Kwanini umuite bwege..
Ukifuta hiyo kauli ya "we bwege nini" usingeeleweka, wazee kuna ulazim gani kukwazana..?
Hawapo WhatsApp jombiiMzee si upige simu kwa internet tu.
Hawa kenge washaona wanatuweza
Hawatumii hizo social networks ni watu smart na napiga kwa namba ambazo hazipo kwenye WhatsAppPolee!
Umejaribu kuwatumia message kwenye social media acc. zao? Mie siku hizi napambana na WhatsApp Calls tu.
mrembo vipi.Ndawoo pole bana. Thed weld ujanja mwingi
Asante kwa maelekezo bro. Mimi ni bwege kweli hujakosea.We bwege nini? Karne hii unaweka kifurushi Cha kuongea na MTU wa nje?
Weka bundle mpigie kutumia Whatsapp infact mtakua mnaongea huku mnaonana. Tena unapiga bure. Yaani at no load.
Thank me later.
YESUU AKBAAAAARRRRRmrembo vipi.
MkaldinhoooYESUU AKBAAAAARRRRR
mrembo una mashetani.nije nikuombee kwa jina la yesuu?☹️nijibu mrembo wangu nijue mojaYESUU AKBAAAAARRRRR