Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Voda na wizi je? Kifurushi kinaisha bila kuelewekaNipo iringa Halotel haisomi Internet kuonyesha bar ya 4G.....nimeshakitupa kiline chao maana nimekinunua juzi tu hapo Victoria leo nimeingia iringa hakisomi ila mtandao upo full.
Vodacom kazi ni kwako
Labda unaotumia wewe,.Upi ni mtandao mzuri sasa?
Mi wamerudisha bundles leo ziko poa kabisaKwahiyo voda ndo wako vizuri..!?
Mmh... Vodacom hawa hawa.??Mi wamerudisha bundles leo ziko poa kabisa
Mi zimerudishwa zakutosha tu....Voda na wizi je? Kifurushi kinaisha bila kueleweka
Yes mkuu kwangu menu imetabasamu kabisaMmh... Vodacom hawa hawa.??