Halotel msikasirike, mjitathimini na call center yenu

Halotel msikasirike, mjitathimini na call center yenu

Atclkwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
823
Reaction score
998
Nimewapigia kuwatarifu kuwa kuna tapeli anataka kunitapeli kwa kukopi na kupaste ujumbe wenu wa Halo Win akitumia simu 0627205377

Mkaniambia niwatumie no iliyotuma ujumbe nawapigia hamtaki kupokea kwa hasira sasa nawatumia kupitia jamiiforum namba iliyotuma ujumbe hii hapa 0734269327 na Mimi nimepiga huduma kwa wateja kwa kutumia no hii hapa 0626159225.

Acheni kuwalea hawa matapeli mnashindwaje kuwapata.
 
Hao halotel hawajielewi kabisa, mi nilinunua umeme kupitia hallo pesa yao hawakunirudishia sms ya token mpaka muda huu ninavyoandika hapa. Umeme nilinunua mwezi wa 6 tarehe za mwanzoni. Nilijaribu kuwapigia Mara nyingi wakipokea wananiambia watanitumia token zangu lakini mpaka Sasa hawajahi kuzituma. Nawachukia Sana ila Mungu awabariki wajitambue na watambue wajibu wao.
 
Hiyo unapuuza tu mzee unaendelea na shughuli zako, wapo wengi sana, sasa utapiga simu kila wakati?
 
Back
Top Bottom