Hao halotel hawajielewi kabisa, mi nilinunua umeme kupitia hallo pesa yao hawakunirudishia sms ya token mpaka muda huu ninavyoandika hapa. Umeme nilinunua mwezi wa 6 tarehe za mwanzoni. Nilijaribu kuwapigia Mara nyingi wakipokea wananiambia watanitumia token zangu lakini mpaka Sasa hawajahi kuzituma. Nawachukia Sana ila Mungu awabariki wajitambue na watambue wajibu wao.