Halotel na kifurushi cha Royal

Halotel na kifurushi cha Royal

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Uki _ dial *102*01# ujue salio lako, DAKIKA hazionyeshwi. Wanaonyesha Mb, na SMS. Kwanini dakika hazionyeshwi? Ni system failure au ni makusudi? kama ni makusudi, Wanaficha nini kama siyo kuwaibia wateja?
Halotel rekebisha hilo!
 
Mi Pia nimeitupa hovyo kabisa, hope na tigo nao wanaelekea huko
 
Halotel sio reliable tena. Kuna Muda ukipiga simu hazitoki. Network inasoma 4G lakini speed yake haina tofauti na 3G
 
Back
Top Bottom