comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
NdioBaada ya chimpumu kumalizika kichwani.
Maisha haya usije ukakata kamba bado asubuhi.Ndio
🤣🤣Ungekua ni wewe umeshindwa kumpa mchumba 50000 aliyoomba usingezima simu?
Tuongee tu uhalisia sometimes lawama nazo twende mbele turudi nyuma chukua nafasi ya Halotel ndio uwe wewe ungejibu?
😅😅
Hawa wa Vietnam itakua matapeliHapa mkuu umemaliza naunga mkono hoja, huu ni mtandao wa hovyo kuwahi kutokea.
Lazima uwapende, maana wewe umezaliwa ili kupenda vimeo, hua nakuona sana hapa jf wewe na vibudu damdamHuu ndo mtandao bora kwa sasa Tanzania
Umelipwa kuja kuwachafua au sio?
Eleza jana Halotel imesumbua nini? au ndo mkilipwa kuchafua Brand za watu hamfikiriqgi mara mbili mnafanya tuLazima uwapende, maana wewe umezaliwa ili kupenda vimeo, hua nakuona sana hapa jf wewe na vibudu damdam
Nikishindwa kulipia king'amuzi janaHapa mkuu umemaliza naunga mkono hoja, huu ni mtandao wa hovyo kuwahi kutokea.
Zee la vibudu, wewe halotel hautumii tunaotumia tunajua, wewe si unatumia TTCLEleza jana Halotel imesumbua nini? au ndo mkilipwa kuchafua Brand za watu hamfikiriqgi mara mbili mnafanya tu
Sheria mbovu za uwekezaji ndiyo chanzo ....wawekezaji kama wa makampuni ya simu kwa sasa wana amisha fedha wanazo chuma na kuzipeleka nje ya nchi makwao ...sheria ya uwekezaji ilitakiwa kuruhusu makampuni ya kigeni yanayo wekeza nchini . Waruhusuwe kutoa fedha nje ya nchi kwa asilimia 250 tu ya kodi waliyo lipa serikalini...pesa nyingine yote waiwekeze nchini ?Kila siku halopesa inasumbua yani imeshakua kawaida, halafu nao wamekua na tabia kama ya mbogamboga ya kuwalipa machawa wawasifie kwenye comment!
Naona leo mambo yamekua magumu machawa nao wamezidiwa nguvu wameona wafunge comment kabisa
View attachment 3534934
TCRA wanaruhusuje watu kama hawa kutoa huduma kwa Watanzania.
Ndio mana Kenya wanaruhusu mitandao mikubwa inayojitambua tuu huwezi kukuta mitandao ya janja janja kama hii.
Halotel ndo mtandao wangu wa siku zote hiyo TTCL sina punguza mapepe MkuuZee la vibudu, wewe halotel hautumii tunaotumia tunajua, wewe si unatumia TTCL