Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 700
Wanapandisha gharama ndio maana,.Enyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa,shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi.
Naomba muongozo wenu katika hili.
Yaani kadi haisomi kabisaa nimebaki kuduwaa tu hapaWanapandisha gharama ndio maana,.
Hata mimi, tangu jana. Sasa hivi ndio imeanza kusoma ila siwezi kupiga au kucheki salio.Yaani kadi haisomi kabisaa nimebaki kuduwaa tu hapa
Hata mimi, tangu jana. Sasa hivi ndio imeanza kusoma ila siwezi kupiga au kucheki salio.
Kwako tuEnyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi.
Naomba muongozo wenu katika hili.
Mkuu hata Tigo nao kwenye Tigo pesa kumefungwa naona wanabadirisha mifumo ili kuendana na vifurushi vipyaEnyi mtandao wa halotel, network yenu leo haisomi kabisa. Shida ni nini au tatizo ni katelephone kangu.Au ndo maboresho ya vifurushi.
Naomba muongozo wenu katika hili.
Ila hii mitandao ya simu kwenye bando imuea bendi aisee sijaona nafuu yoyote ile kwa marekebisho waliyofanya dooooh.Halotel kama hawatorekebisha bado zao basi mpaka jumamosi nawahama rasmi na line yao navunja wapuuzi sana hawa mavetenamu