Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

Halotel nimewavumulia vya kutosha, kwaherini

Munguwetu

Member
Joined
Dec 13, 2022
Posts
87
Reaction score
80
Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangalia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha.

Narudi nyumbani.

Inatisha, nimekuwa nikununua airtime tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku.....

Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache

nimewavumulia vya kutosha. Kwaherini. Endeleeni na walio na ngozi ngumu
 
Niliwaamini Sana niliwavumilia Sana. Najua nikiangakia salio nimechangia kampuni yenu na vinatosha.

Narudi nyumbani.

Inatisha, nimekuwa nikununua airtime Tena via halopesa, nimefanya hivyo kw mtindo wa si chini ya 8-9000 Kwa siku.....

Kwa mwezi mzima haipungui 9000*30 =270,000 Kwa uchache

nimewavumulia vya kutosha. Kwaherini. Endeleeni na walio na ngozi ngumu
Wapumbavusana hawa halotel...wameajiri viongozi uchwara ...hata mabando yao wanavyo yaoanga yanaonyesha kuwa hawana akili timamu ya LOGIC
 
Oneni mnachofanya
Hapa nimeweka bando three times yaani mara tatu sh 3000.
Screenshot_20221215-222337.jpg


Screenshot_20221215-221028_1.jpg



Screenshot_20221215-222536.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221215-222337.jpg
    Screenshot_20221215-222337.jpg
    18.3 KB · Views: 7
Kwa kifupi siombi Msaada wowote. Hii ni taarifa tu.

Na nilinunua mara tatu mfululizo kila nikinunua naliwa..

Na kila nikitazama Salio naona limeliwa, salio linaliwa waziwaziin sec

Mimi naijua mifumo, sijahitaji maelezo lkn kutokana na kazi zangu nahitaji bando, halotel you re no more
 
Halotel wajinga sana wanatafuta mbinu za kutuibia kila kukicha. Leo asubuhi mapema wamenitumia meseji eti nimefanikiwa kujiunga kusikiliza story na watakata 100 kila siku. Wakati sijajiunga na huduma yoyote.
Kiufupi halotel ni jipu huu ndio ule ujinga ukiweka vocha tuu kabla hujaniunga wanakukata matokeo unaambiwa salio halitoshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa washenzi hawali bando bali wanabugia,mimi nilidhani uenda ni mwenyewe kumbe na nyie mnalia!.

Voda ni mtandao ambao huwa naukubali sana

IMG_1213.jpg

Nilijiunga kifurushi mb490 haikufika dakika wakati naperuzi vitu vya kawaida nikaletewa asilimia 75 nimetumia[emoji1787][emoji1787]
 
Hawa washenzi hawali bando bali wanabugia,mimi nilidhani uenda ni mwenyewe kumbe na nyie mnalia!.

Voda ni mtandao ambao huwa naukubali sana
Mimi sikuelewa, lile lidude lilikusuma, likawa linakula makabeji kama linatafuna karanga, hukuliona tena? Wewe ukawa unamuona Maya tu?
 
Back
Top Bottom