I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Masikitiko yangu kwa hawa Halotel kwa wanalowafanyia wateja wao sio jambo jema hata kidogo. Nashindwa kuamini mtandao unashindwa kudownload hata app ya 12mb inabaki kuload tu ila cha kushangaza zaidi nashuhudia data zikikimbia bila kuelewa wapi zinaenda na wakati task ndogo kama ya kudownload app (mb 12 ) ni shida.
Kuweni na aibu mnakuwa kama nyoka asiye na kope!
Acheni kuiba.
Kuweni na aibu mnakuwa kama nyoka asiye na kope!
Acheni kuiba.