I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Wapumbavu hawa! Wamenikera sana leo.Hawa jamaa, acha kabisa mkuu.
Kuna siku nilijiunga 1gb na kabla hata dk haijesha, jamaa wamemaliza kila kitu na kipindi hakukuwa na hii fix ya 4g, nilipowapigia wananambia nimetumia, nawauliza mtandao wenu una speed ya ku-browse kitu cha 1gb less than a minute??? Wakabaki "umetumia na hatujui umefanyia nini" nikaona isiwe shida, nikakausha kwa vile sina la kufanya.
Hawa jamaa wa mitandao aisee pepo wataiskia tu, sio kwa kutukomesha huku aisee.
Kwangu ni kuzingua tu mkuu,Mbona mi nashusha mzigo wa 9GB unaenda poa
Inawezekana labda, lakini sio sababu ya kuchukua data bila matumizi.Pengine upo location ambayo netwk mkuu,mbona watu tunashusha mimovies tuu, unatumia smu gan mkuu?? Maana natream chochote ninachotaka ,smu yangu ikichagizwa na Ram ya 8 gb, speed ya kutoshaa
Bottomline ni kuwa wanalalamikiwa sana! Nadhani wana tatizo kubwa. Mimi natumia lkn sioni tatizo kubwa...Pengine upo location ambayo netwk mkuu,mbona watu tunashusha mimovies tuu, unatumia smu gan mkuu?? Maana natream chochote ninachotaka ,smu yangu ikichagizwa na Ram ya 8 gb, speed ya kutoshaa