A
Anonymous
Guest
Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja.
Ujumbe wa kwanza
[AFYACHAP]
Umefanikiwa kujiunga na huduma ya AfyaChap kutoka HALOTEL BURE kwa siku ya leo.
Utaendelea kufurahia huduma hii kila siku kwa gharama ya Tsh 200/Siku.
Tembelea AfyaChap Contents kupata dondoo mbalimbali na ushauri kuhusu Afya. Pia utafurahia huduma hii kwa njia ya ujumbe mfupi.
Kusitisha huduma tuma ONDOA kwenda 15513 au tembelea AfyaChap Contents.
Kwa maelezo zaidi tuma MSAADA kwenda 15513 au piga 100. Vigezo na masharti kuhusu huduma tembelea https://bit.
Ujumbe wa pili
Wajawazito anzeni matumizi ya Folic mapema,
Vidonge vya Folic husaidia mtoto kutozaliwa na hitilafu mbalimbali kama Mgongo wazi,Ubongo wazi nk.