Halotel tunashukuru kwa kurudisha vifurushi vya zamani, sisi wateja hatuvitaki, turudishieni vile vipya.

Halotel tunashukuru kwa kurudisha vifurushi vya zamani, sisi wateja hatuvitaki, turudishieni vile vipya.

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu.

#kamati ya roho mbaya.
 
Nahisi wameshapata wateja wakutosha, ndio maana wana jeuri ase, yaani mimi siwataki kwakweli, hapa nasaka line zenye uhakika ila sio hawa wapuuzi
Sasa hivi sijui ni nn kimewapata, au jeuri ya pesa
 
Back
Top Bottom