I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Apr 15, 2021 #1 Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu. #kamati ya roho mbaya.
Naona mnajikosha sasa siku zote hizo mlikuwa wapi? Tushazoea vile vifurushi vyetu pendwa vya 2000- mb 700 leo hii mnavitoa? Hata hivyo vya usiku pack na 4g bundle bakini navyo tupeni tulivyozoea vya mwaka huu. #kamati ya roho mbaya.
kipanta JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 925 Reaction score 1,086 Apr 17, 2021 #2 Hawa halotel ni wapumbavu sana
W Weera weraaaa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 740 Reaction score 657 Apr 18, 2021 #3 Mkuu acha uchawi
Robidinyo JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 4,043 Reaction score 8,686 Apr 18, 2021 #4 Mtandao wao kwa upande wa internet ni wa ovyo sana
I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Apr 18, 2021 Thread starter #5 kipanta said: Hawa halotel ni wapumbavu sana Click to expand... Sana mkuu
I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Apr 18, 2021 Thread starter #6 Weera weraaaa said: Mkuu acha uchawi Click to expand... πππ
I am Groot JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 3,929 Reaction score 10,747 Apr 18, 2021 Thread starter #7 Robidinyo said: Mtandao wao kwa upande wa internet ni wa ovyo sana Click to expand... Sasa hivi sijui ni nn kimewapata, au jeuri ya pesa
Robidinyo said: Mtandao wao kwa upande wa internet ni wa ovyo sana Click to expand... Sasa hivi sijui ni nn kimewapata, au jeuri ya pesa
kipanta JF-Expert Member Joined Sep 2, 2014 Posts 925 Reaction score 1,086 Apr 18, 2021 #8 Nahisi wameshapata wateja wakutosha, ndio maana wana jeuri ase, yaani mimi siwataki kwakweli, hapa nasaka line zenye uhakika ila sio hawa wapuuzi King Mufasa said: Sasa hivi sijui ni nn kimewapata, au jeuri ya pesa Click to expand...
Nahisi wameshapata wateja wakutosha, ndio maana wana jeuri ase, yaani mimi siwataki kwakweli, hapa nasaka line zenye uhakika ila sio hawa wapuuzi King Mufasa said: Sasa hivi sijui ni nn kimewapata, au jeuri ya pesa Click to expand...