Halua inaliwa na nini?

Halua inaliwa na nini?

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
852
kwa wazoefu jamani, nimeletewa zawadi ya halua na rafiki yangu, sijawahi kula hii kitu, kwa wazoefu halua inaliwaje maana naiona kama jelly like haieleweki eleweki hivi. Nawasilisha.
 
tafuta kahawa ya iliki ndio vinaendana...
 
kwa wazoefu jamani, nimeletewa zawadi ya halua na rafiki yangu, sijawahi kula hii kitu, kwa wazoefu halua inaliwaje maana naiona kama jelly like haieleweki eleweki hivi. Nawasilisha.

inaliwa na tende mkuu
 
kwa wazoefu jamani, nimeletewa zawadi ya halua na rafiki yangu, sijawahi kula hii kitu, kwa wazoefu halua inaliwaje maana naiona kama jelly like haieleweki eleweki hivi. Nawasilisha.

Huyo mzenji uliempata mwaka huu lazma utie akili. Wasipoenda mifrinjeni kukutambika wanakukosa mazima. Afu ujue halua haina makombo.
 
Duh hivi halua kwa chizungu ni nini ? Nilifikiri halua ndo tende kumbe sio..?
 
Kama ugali tu. Halua na maziwa ni "aphrodisiac".....hapo umeambiwa kimsingi kwamba "nguvu kazi" inahitajika, hataki masihara huyo.
 
Back
Top Bottom