Hama hama ya watangazaji wa radio za Bongo, maana yake ni nini!?

 
Fredwaa ana ubora upi kwenye kutangaza! Labda kipindi kingine lkn sio power breakfast
 
Kuna dj ommycrayz yaan huwa simuelewi kabisa
Dj Ommy crazy mshamba sio mshamba shoga sio shoga kote kote anafit. Sijui waliokota wapi ile kituko Dj anafosi kujulikana alafu hana damu ya kupendwa Mafuvu alikuwa Dj haswa.
 
Mi ndo sisikilizagi redio. Hata sielewi kitu hapa.
Watu wa jamii yako ndio mnaoongeza ile asilimia 71 ya Wtz Wazembe/Wavivu.....umeingia kwa Mama lishe, unaulizwa unakula nini? unajibu,nani kawambia nina njaa?
 
Hunizidi mimi mkuu maana EA Radio ndio my favourite station hapa bongo, kama vipi wamrudishe mafuvu tu.
The same to me nigger..... Ile team kwa kweli ilikuwa inatii kiuu za burudani hasa usiku ghetton wakat nacheza na computer yangu nimetune in East Africa radio.....
Wanakimbilia clouds kwa kuwa upewaga posho ya 20000 kila baada ya kipind

Ila jana nimesikiliza Jr junior kakitendea haki kipind he is such a talented

Naipenda east Africa radio kwa sababu mpangilio wa program is so classic uwez choka kusikiliza
 
Aiseeeeeeeeee!!!!! Hata mm cjaamin nnebak naduaa,na cm nliweka,chin gafla kwa mshangaaaooooo
Mara ingine ma. presenter inabid watunze status zao sio kuhama radio eti kisa umeongezewa ka laki Moja zaid ya pato la awali

MI naamin tuliwapenda zaid wakiwa east Africa radio kwa kuwa hii ni radio pekee ambayo inasimama kwenye misingi ya haki kuhusu burudani bila kumbeba au kumbania msanii

Mpinzan mkubwa wa burudani kwa Sasa ni Kati ya east Africa radio na clouds fm ndio maana ruge yupo Tayari apande dau ili kuwarubuni mapresenter wa east Africa radio dau lenyewe laki Moja tu

Kennedy the remedy na gorge bantu pia walitoka east Africa radio

Maganga pia alitoka east Africa radio

Milard ayo pia alitoka huku

Baada ya kipind cha Milard ayo kuanza kukosa umaarufu kwa kasi kutokana na watu kuvutiwa na burudani iliyokuwa ikitolewa kupitia mikono ya dj sinyorita na midomo ya marmie babie ndipo walipoamua kuwapandia dau faster
 
Hivi Twalib Omary Muwa amehamia clouds kutoka Azam tv,maana nasikia leo sauti yake spotiextra ya clouds.Bora kidogo kipindi kitachangamka kilishaanza kupoa
Hivi twalibu ana sifa ya utangazaji????? lile lisauti Lake halina mpangilio linapanda na kushuka yaan anatangaza kwa kupiga makelele
Hana sifa huyu anatakiwa Atafute kazi ya kupiga P. A tu
 
It's true mkuu yan co dau kubwa wanaongezewa n dogo tu af ruge wafanyakaz wake wengi wanatoka kwa kampun ya mengi Ipp estiafrica,redio inakua na watangazahi wakali sana mtu km mavuvu alikua dj mkali hata,dj 0. Alikua anasubr mavuvu cjui yuko wap now
 
Mafuvu amejiajiri km sikosei
Unamlipa anakufanyia Kaz
 
Una akili kinoma big up...nimeona kitu apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…