Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa utambuzi wa Sura kufungwa Dar es Salaam, Arusha na Dodoma

Vipaumbele vyetu ni fursa za watu kupiga, wakati wa kuandaa bajeti ndio muda ambao watu huwa wanachomeka fursa za kupiga.
 
Nimemkumbuka JPM ni lile sakata la kununua drones kule zimamoto.

Tutamkumbuka kweli yule mzee 😢. Ni kama alikuwa anaona vile yatakayofuata baada ya yeye kuondoka.
 
Vipaumbele vyetu ni fursa za watu kupiga, wakati wa kuandaa bajeti ndio muda ambao watu huwa wanachomeka fursa za kupiga.
Umesema kweli kabisa. Mpango kama huu unakuta ni mtu amejiwa na li-kampuni likampa idea ya kufunga kamera na wakamuahidi bakshishi iwapo watakubaliwa. Tena kama hizi kampuni za kichina ni fisadi kweli kweli. Au ni huyo huyo Masauni au ndugu yake ina hisa kwenye hizo kampuni. Samia haiwezi hii nchi. Siyo kosa lake kwani system ilishavurugika siku nyingi, ila kosa lake ni kukataa kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa uongozi ili tuwe na system mpya.
 
Hiyo pesa si wangejenga tu barabara kule Mlimba Morogoro na sehemu nyingine zinazozalisha sana chakula kusaidia wakulima kufikisha mazao masokoni

Wangejenga madarasa Kwanza
 
Hamad Masauni: Kamera zenye Mfumo wa Kuangalia speed barabarani huo mradi uliishia wapi? Ili kuondoa trafic barabarani na kupunguza rushwa?
 
[emoji7]
 
Blah Blah Blah kutoka kwa minister wangu wa home affairs, kwanza hili liwizara ni kubwa mno,vunja na unda police ministry (ulinzi wa raia )na home affairs (uraia &immigrations),hizo cctv ni Blah na unatafutwa mlango wa kuniibia tena pesa yangu, NIDA unahangaika nayo mpaka leo na sasa unaniongopea na hii facial identification camera!!,leta kwanza digital IDs !!,binafsi sio kihiyo
 
Mradi wa kupiga mabilioni kama kawaida yao nzi wa kijani
 
Wabunge wajadili juu ya Tanganyika kuuzwa kwa waarabu waache mengine waidai haki yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…