Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!
Mimi siamini habari kama hii maana haiwezekani kabisa kwa mtu kama RASHID HAMAD kuondoka CUF, ni nguzo muhimu sana ndani ya chama hicho
Jamani ndugu zangu!! SIAMINI tetesi kama hizi maana he guys is very conservative, labda wanataka kufanya chama cha Tatu chenye nguvu Zanzibar, Ndugu akili yangu na macho yangu yanagoma kuamini mambo haya hata kidogo, tumuulize huyu mtoa habari ametoa wapi habari hii??Usemacho ni sahihi,sasa ataendelea kuwa nguzo mpaka lini? Yeye pia ana ndoto zake ambazo mimi na wewe hatuzijui. Kama anaona wanamzibia kufikia ndoto zake atabaki hapo siku zote,tafadhali tusimsemee mtu aliye hai.
1. Nilijiunga CHADEMA kabla ya Kabourou. Mimi nilijiunga mwaka 1993, nikiwa kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye alikuja mwaka 1994 kugombea Ubunge kuziba nafasi ya Marehemu Rajabu Omar Mbano.
2. Sijawahi kuwa mwanachama wa CCM na hivyo hakuna kitu kurudi nyumbani. Toka nimekuwa na umri wa kujiunga siasa nimekuwa mwanachama wa chama kimoja tu CHADEMA na ninamwomba sana Mungu uhai wangu uishie katika chama hicho tu. Inshaallah
3. Kutangaza kwangu kutogombea hakuhusiani na hata kidogo na uzushi wako hapo juu. Nimeshasema ni kwa nini niliamua kutoomba kipindi kingine cha Ubunge. Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!
Mimi nilileta habari ya Lwekatare kwenda Chadema miezi mitano iliyopita na kweli imekuwa.tumpe Muda mtoa mada.Jamani ndugu zangu!! SIAMINI tetesi kama hizi maana he guys is very conservative, labda wanataka kufanya chama cha Tatu chenye nguvu Zanzibar, Ndugu akili yangu na macho yangu yanagoma kuamini mambo haya hata kidogo, tumuulize huyu mtoa habari ametoa wapi habari hii??
Tatizo lako huwaelewi hao. Hamad Rashid Mohammed ni mahiri, tu. Tena ni rrrasmi. Kaka zake huyo ni Mzee Said Rashid Mohammed-huyo ni CCM gwiji.Mimi siamini habari kama hii maana haiwezekani kabisa kwa mtu kama RASHID HAMAD kuondoka CUF, ni nguzo muhimu sana ndani ya chama hicho
1. Nilijiunga CHADEMA kabla ya Kabourou. Mimi nilijiunga mwaka 1993, nikiwa kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye alikuja mwaka 1994 kugombea Ubunge kuziba nafasi ya Marehemu Rajabu Omar Mbano.
2. Sijawahi kuwa mwanachama wa CCM na hivyo hakuna kitu kurudi nyumbani. Toka nimekuwa na umri wa kujiunga siasa nimekuwa mwanachama wa chama kimoja tu CHADEMA na ninamwomba sana Mungu uhai wangu uishie katika chama hicho tu. Inshaallah
3. Kutangaza kwangu kutogombea hakuhusiani na hata kidogo na uzushi wako hapo juu. Nimeshasema ni kwa nini niliamua kutoomba kipindi kingine cha Ubunge. Hata hivyo, kwa kuwa ni maamuzi yangu ninaweza kubadili msimamo wangu huo na kugombea tena na kushinda. Nipo huru kuamua ninachoona inafaa!
Huyo jamaa asibaki kule siku zote akimsikiliza Maalim tu. Tazama picha pana ya sasa hivi- Hamad Rashid ana nafasi nzuri tu. Na azicheze karata. Hatuna noma huyo [B]twamjua uzuri.[/B]Usemacho ni sahihi,sasa ataendelea kuwa nguzo mpaka lini? Yeye pia ana ndoto zake ambazo mimi na wewe hatuzijui. Kama anaona wanamzibia kufikia ndoto zake atabaki hapo siku zote,tafadhali tusimsemee mtu aliye hai.
Pakacha, SRM si kutu la N'gombe mbona wanapokutana CCM wawili na yy akiwepo ya ndani hayasemwi, asije akasikia!?Tatizo lako huwaelewi hao. Hamad Rashid Mohammed ni mahiri, tu. Tena ni rrrasmi. Kaka zake huyo ni Mzee Said Rashid Mohammed-huyo ni CCM gwiji.
Poa moto Junius . Aste aste.Pakacha, SRM si kutu la N'gombe mbona wanapokutana CCM wawili na yy akiwepo ya ndani hayasemwi, asije akasikia!?
Ama kweli kisonge pana watu wake hata ww Pakacha!Poa moto Junius . Aste aste.
Na mimi niko radhi tuwape CUF -tuwajaribuni ? yakhe. Lakini hii isiwe chini ya himaya ya Seif Sharif Hamad. Kama itakuwa chini ya Hamad Rashid Mohammed - sawa.Labda nikudaokezeni tu umbeya Hamad Rashid Moh'd ndo anaetegemewa kuliongoza jahazi la CUF pindi Maalim Seif Shariff Hamad atakapoachia kwa namna yoyote ile. Wanachama wengi na wapenzi wa CUF wana kiamini kichwa hiki kuwa na uwezo, hekima, maarifa na ukomavu wa kulivusha na kulifikisha salama ufukweni jahazi la wanamageuzi kama walivyoapa tokea kamahuru.Mnaponambia hadithi za anataka kwenda CCM siwaelewi
Hamad ahame bado naona si pati uhakika mbona inaonekana anaheshimiwa sana na viongozi na wanachama wa CUF sijui labda