Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Nimewasikiliza hawa wabunge jana wakiongea kama wabunge wa CCM. Hamadi Rashid anasema eti Spika ametupatia ushauri mzuri wabunge wa upinzani. Cheyo naye anasema eti siasa za nchi isitawalike. Sasa Hamadi Rashid na Cheyo wanasubiri nini kutangaza kuwa wao ni CCM damu damu?

waroho na walafi Wa madaraka ni chama chenu cha kikabila chadema,bila ubinafsi na uroho wao wamadaraka yote haya yasingekuepo,sasa wameula wa chuya kwa tamaa zakijinga,Hamadi Rashid ni sawa na Seif na Lipumba, kwao hawawezi kuishi bila madaraka ama kutambuliwa, Hamad anadhani CDM ndio wapinzani wao wakubwa, Ndio maana inashangaza movie ya ccm kung'ang'ania cuf , kwakua wanajua udhaifu wao, wanajua unyonge wao, wanajua cuf wanachotaka ni madaraka , ukiwapa wananyamaza kimya, wameona kule Znz, wametulizana kwa unyonge, ni waroho na warafi wa madaraka , ni genge la watu wahovyo, ooh Yes watu wa hovyo kabisa.
Hivi wengine mpaka mpigwe nyundo ya kichwa ndio muelewe? sababu za CDM kuikataa CUF mbona zilishawekwa wazi mara nyingi.Vipi ulimsikia Mbowe alivyo mbaguzi. Kwanini awabague wapinzani wenzake?
Anayetoa hoja kanuni zibadilishwe ili apate madaraka na anayesimamia kanuni kama zinavyotaka ni yupi aliye mlafi wa madaraka?waroho na walafi Wa madaraka ni chama chenu cha kikabila chadema,bila ubinafsi na uroho wao wamadaraka yote haya yasingekuepo,sasa wameula wa chuya kwa tamaa zakijinga,
unamaanisha chadema ni chama cha kabila gani? wapo kuanzia mtwara hadi kagera. labda ni cha kabila linaitwa tanganyikawaroho na walafi Wa madaraka ni chama chenu cha kikabila chadema,bila ubinafsi na uroho wao wamadaraka yote haya yasingekuepo,sasa wameula wa chuya kwa tamaa zakijinga,